Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Friday, October 3, 2014

HIVI NI VITUKO KATIKA BUNGE LETU

 Mmoja wa wajumbe wa Bunge maalumu la katiba akiserebuka katikati ya ukumbi wa bunge mara baada ya rasimu ya katiba inayopendekezwa kupita
 Hii ni siku ambapo askari wa bunge walipoamua kutumia nguvu kumtoa nje ya ukumbi wa bunge mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi(Sugu) baada ya mbunge huyo kuzua tafrani ndani ya ukumbi
 Hapa askari wakijaribu kumdhibiti mbunge huyo ambaye hakutii sheria ya kutoka nje kwa hiari
 Wabunge wa Chadema waliotanga kuingilia sakata hilo wakidhibitiwa pia
 Sijui siku hii hawa wabunge walikuwa wakimpasha nani vipande vyake ndani ya bunge
 Mheshimiwa Komba akiendelea kutafakari kwa kina juu ya hoja zinazotolewa bungeni
 Je unaikumbuka hii siku?Kama ndiyo utakuwa unakumbuka tatizo lilikuwa nini hapa.
Akhaaaa mi simo kabisaaaaaaa kwenye hzo serikali zenu.........Huyu ni mbunge wa Nkasi kaskazini Ally Kessy alipozongwa na wajumbe kutoka Zanzibar

No comments:

Post a Comment