Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Thursday, December 4, 2014

MWAKIPESILE AZINDUA RASMI KAMPENI ZA(CCM) ZA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA KATA YA SINDE

 Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Kagwina wakifuatilia mkutano huo kwa makini

Mwakipesile ambaye ni MNEC akihutubia wananchi waliohudhuria mkutano huo kwenye viwanja vya shule ya msingi Sinde jijini Mbeya.



 Wagombea wa nafasi za Uenyekiti wa mitaa katika mitaa minne iliyopo katika kata ya Sinde jijini Mbeya


 Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa mtaa kupitia CCM katika mtaa wa Kagwina Michael Mwakasitaakiomba kura kutoka kwa wakazi wa mtaa huo.



Katika mtaa huo Mwakasita ambaye anatetea nafasi ya uenyekiti,mgombea mwingine ni Hamis Mlaponi anayegombea kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema).

No comments:

Post a Comment