Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Thursday, February 27, 2014

WASHIRIKI WA SEMINA YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO WAKIJIKUMBUSHA NINI WALIJIFUNZA JANA WAKIWA NJE YA UKUMBI WA ROYAL TUGHIMBE MBALIZI MBEYA.MAFUNZO HAYA YA WIKI MOYA YALIANDALIWA NA SHIRIKA LA PACT TANZANIA KWA KUSHIRIKIANA NA DAWATI LA JINSIA LA POLISI

No comments:

Post a Comment