Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, November 5, 2014

HATARII HII JAMANI

 Mwanafunzi wa shule ya msingi Sisimba jijini Mbeya ambaye hakufahamika jina lake akiendelea kuchambua daftari zake akiwa katikati ya barabara ya Acasia pasipo hofu ya hatari ya kugongwa na vyombo vya moto huku watoto waishio katika mazingira hatarishi wakipita na kumshangaa.
 Kwa sasa barabara hii imekuwa hatari kwa wanafunzi wa shule ya Sisimba baada ya mamlaka husika kuruhusu mabasi madogo ya abiria maarufu kama Daladala kupita jirani na lango kuu la shule hiyo




No comments:

Post a Comment