Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, November 12, 2014

NMB YATOA MSAADA WA DAWATI 216

 Mstahiki Meya wa jiji la Mbeya Athanas Kapunga akipokea msaada wa dawati kutoka kwa meneja wa benki ya NMB kanda ya nyanda za juu kusini Lucresia Makirie wakati benki hiyo ilipotoa msaada wa dawati 214 zenye thamani ya jumla ya shilingi milioni 15 kwaajili ya shule za msingi za Azimio na Mbata,na shule ya sekondari Mbeya Day






 WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI AZIMIO WAKIZISUBIRI DAWATI KWA HAMU KUBWA
 Hapa wakiwa wamekaa kwenye dawati hizo mara baada ya kukabidhiwa.Wameahidi kuzitunza.



Shule ya sekondari Mbeya Day imepewa dawati 84,shule za msingi Mbata na Azimio zimepewa dawati 65 kila moja.

NMB imekabidhi msaada huo ikiwa ni sehemu ya mchango wake katika kutatua changamoto ya upungufu wa madawati kwenye shule mbalimbali.


No comments:

Post a Comment