Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, November 10, 2014

SHULE YA MSINGI NGUMBULU YAKABILIWA NA CHANGAMOTO KIBAO ZA VYOO

CHOO KINACHOTUMIWA NA WALIMU WA SHULE YA MSINGI NGUMBULU WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA
SHULE HII IPO KATIKA KIJIJI CHA NGUMBULU,KATA YA ISONGOLE WILAYANI RUNGWE
MOJA YA TUNDU LA VYOO VINAVYOTUMIWA NA WANAFUNZI WA SHULE HIYO

CHUMBA CHA CHOO KIKIWA NA MATUNDU YANAYOHATARISHA MAISHA YA WATUMIAJI AMBAO NI WANAFUNZI

No comments:

Post a Comment