Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Saturday, November 16, 2013

112 WAHITIMU MGAMBO MBEYA.KAIMU MKUU WA WILAYA YA MBEYA CHRISPIN MEELA AFUNGA RASMI MAFUNZO HAYO KWA MWAKA HUU

Jumla ya mgambo 112 walihitimu mafunzo hayo jana kati ya 500 walioandikishwa ambapo kati ya wahitimu hao 85 ni wavulana na 27 wasichana wengi wao wakiwa ni wanaofanya kazi katika makampuni binafsi ya ulinzi ambao waliingia katika ajira hiyo awali bila kuwa na mafunzo ya aina yoyote.

No comments:

Post a Comment