Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Thursday, November 7, 2013

MAITI YA KIKONGWE ALIYEZIKWA AKIWA HAI YAFUKULIWA NA POLISI NA KISHA KUZIKWA TENA.KIJIJI CHATIMKIA PORINI WABAKIA WANAWAKE PEKEE

HIVI NDIVYO MWILI WA KIKONGWE HANAHELA ALIYEZIKWA AKIWA HAI AKITUHUMIWA KUMROGA MWANAYE ULIVYOFUKULIWA NA KISHA KUZIKWA TENA.HATA HIVYO JESHI LA POLISI LINALAUMIWA KWA KUCHELEWA KUFIKA ENEO LA TUKIO.KWA MUJIBU WA KAMANDA WA POLISI MKOANI MBEYA DIWANI ATHUMANI WATU 12 AKIWEMO MWENYEKITI WA KIJIJI CHA MSHEWE WANASHIKILIWA KWA MAUAJI HAYA YA KIKATILI

No comments:

Post a Comment