Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Saturday, November 16, 2013

UZEMBE KAZINI

ASKARI HUYU ALIKUTWA NA Lyamba Lya Mfipa akiwa amesahau wajibe wake wa kuhakikisha usalama wa raia na mali zao hasa fedha katika kituo chake cha kazi cha Benki ya CRDB tawi la Uhindini jijini Mbeya.Kwake simu ni muhimu kuliko kazi aliyopewa hapa.Namba yake iliyosomwa katika sare yake tunaihifadhi

No comments:

Post a Comment