Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, June 10, 2015

JAMII YETU INAELEKEA WAPI?

 Je mtoto huyu anajengewa mazingira gani kwenye maisha ya upendo kwa binadamu wenzie.Unadhani siku akijua ukatili aliofanyiwa nini kitajengeka kwenye fikra zake.



Waswahili husema hiari yashinda utumwa!Maisha ya kujificha kama haya ni hatari.Hwa ndio wacha Mungu wetu wenye kufanana na makaburi yaliyopakwa chokaa ndani yamejaa mifupa ya watu.Wanasafisha nje ya kikombe ndani kumejaa uchafu!

No comments:

Post a Comment