Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Thursday, June 11, 2015

MADEREVA WA BAJAJI WAFUNGA BARABARA KUU MBEYA

Displaying IMG_7922.JPG


Askari wa kutuliza ghasia mkoani Mbeya wakiondoa mawe barabarani eneo la Kabwe jijini Mbeya ambayo yaliwekwa na waendesha Bajaji wakilalamikia kikosi cha usalama barabani kwa kuwatoza shilingi 180,000/ badala ya shilingi 30,000/ ambazo ni kwa mujibu wa sheria pindi wanakpo kutwa na makosa likiwemo kosa la kutoa huduma ya usafiri katika barabara kuu Dar-es-salaam Zambia ambayo hawaruhusiwi. 


Displaying IMG_7923.JPG
Displaying IMG_7924.JPGDisplaying IMG_7925.JPG




Displaying IMG_7913.JPG

No comments:

Post a Comment