Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, November 25, 2015

MTANILA WAKAMILISHA UJENZI WA MAABARA

Mratibu elimu kata ya Mtanila wilayani Chunya,Venant Lymo akikagua kazi ya ufungaji madirisha ya Aluminium katika moja ya majengo ya maabara kwenye shule ya sekondari ya kata hiyo ikiwa ni ukamilishaji wa agizo la rais mstaafu Jakaya Kikwete la kuzitaka shule zote za sekondari kuwa na maabara kwaajili ya masomo ya sayansi.Kulia ni fundi Daudi Mkilima aliyefanya kazi ya kufunga madirisha hayo




No comments:

Post a Comment