Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, July 22, 2015

BENKI YA TIB YATOA MSAADA WA KOMPYUTA MBILI KWA JESHI LA POLISI MBEYA

 Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi akipokea msaada wa kompyuta kutoka kwa Meneja wa benki ya Tanzania Investiment(TIB) tawi la Mbeya kitengo cha Cooparate Finance Hemed Sabuni.Benki hiyo imekabidhi msaada wa kompyuta mbili lengo likiwa ni kushiriki kwenye uboreshaji wa utendaji kazi wa jeshi

 Kamanda Msangi akizungumza jambo mara baada ya kupokea msaada huo ambapo miongoni mwa mambo aliyoeleza ni pamoja na mapendekezo ya kufungwa CCTV nje ya majengo ya benki.

 Maafisa wa benki ya TIB Hemed Sabuni na Nuru Brighton wakimsikiliza kamanda Msangi.



Maafisa wa jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya wasikiliza kamnda wao akizungumzia msaada wa kompyuta mbili walizokabidhiwa na maafisa wa benki ya TIB.



No comments:

Post a Comment