Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Thursday, July 23, 2015

NWAKA MWAKISU ALIPOCHUKUA FOMU KUPITISHWA NA CCM KUWANIA UBUNGE MBEYA MJINI

 Katibu msaidizi wa CCM Mbeya mjini Neema Dunga akimkabidhi kada wa chama hicho Nwaka Mwakisu Fomu ya kuwaniua nafasi ya kugombea ubunge kupitia chama hicho.

 Nwaka Mwakisu akihesabu fedha kabla ya kulipia fomu ya ubunge




 Nwaka Mwakisu akitoka nje ya ofisi baada ya kuchukua fomu akiwa ameambatana na mkewe.
 Nwaka Mwakisu akiwa nje ya ofisi akakutana na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Mbeya na baadaye Njombe mkoani Ruvuma Dk.Norman Sigala ambaye naye ni mmoja wa watu waliotia nia kuwania nafasi ya kuteuliwa na CCM kugombea ubunge katika moja ya majimbo mkoani Njombe.
 Nwaka Mwakisu akazidi kukutana na wadau zaidi nje ya ofisi za chama

 Mhariri mkuu wa Lyamba Lya Mfipa Bw.Joachim Nyambo akimhoji swali Nwaka Mwakisu kwenye kikao cha mgombea huyo na wanahabari.
 Wadau mbalimbali walifika ukumbini kushuhudia mahojiano baina ya Nwaka Mwakisu na wanahabari.
NDUGU MDAU HATA WEWE UNAWEZA KUONEKANA HAPA IWAPO UNAGOMBEA AU NDUGUYO,TUMA PICHA NA WASILIANA NASI.

No comments:

Post a Comment