Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, July 20, 2015

HABARI NJEMA KWA WAGOMBEA!

WAPENDWA WASOMAJI WA Lyamba Lya Mfipa TUNAPENDA KUWAANGAZIA KUWA TUNATARAJIA KUWALETEA MFULULIZO WA MATUKIO YA UCHUKUAJI FOMU YALIYOFANYIKA MAENEO MBALIMBALI SIKU CHACHE ZILIZOPITA IKIWA NI MCHAKATO WA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2015.

TUNAKARIBISHA PICHA ZA MATUKIO YA WAGOMBEA WALIPOCHUKUA FOMU A KUTANGAZA NIA.WASILIANA NA MHARIRI MKUU WA BLOGU HII Bw.Joachim Nyambo.0756 40 95 97.TUTUMIE PICHA NA MAELEZO KUPITIA nyambojoachim@gmail.com.

NYOTE MNAKARIBISHWA

No comments:

Post a Comment