Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Saturday, November 17, 2012

ABIRIA WA BASI LA SUMRI WAENDELEA KUSOTA TUNDUMA

da ya basi lao kukwaruzana na lori na kulazimika gari zote hizo kupelekwa katika kituo kidogo cha polisi kilichopo Tunduma.Hivi sasa unafanywa utaratibu wa kutafutiwa gari jingine.
Habari zilizoifikia LYAMBA LYA MFIPA muda mfupi ulopita zinaeleza kuwa abiria waliokuwa wakisafiri kwa basi la kampuni ya Sumry lililotoka Sumbawanga majira la saa mbili asubuhi kwenda jijini Mbeya wanaendelea kusota katika mji mdogo wa Tunduma wilayani Momba.

Inaelezwa kuwa chanzo cha abiria hao kuendelea kusota ni baa
da ya basi lao kukwaruzana na lori na kulazimika gari zote hizo kupelekwa katika kituo kidogo cha polisi kilichopo Tunduma.Hivi sasa unafanywa utaratibu wa kutafutiwa gari jingine.

No comments:

Post a Comment