Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Tuesday, November 20, 2012

TIA MBEYA WAZINDUA TAWI LA WAPINGA RUSHWA

TASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa(Takukuru) mkoani hapa imezindua tawi la klabu ya wapinga rushwa ya wanafunzi wa chuo cha biashara (TIA) cha jijiji Mbeya.

Uzinduzi huo ulioshuhudiwa na LYAMBA LYA MFIPA umefanyika leo na kamanda wa Takukuru mkoani Mbeya Daniel Mtuka ambapo amewataka wanafunzi chuoni hapo kuitumia klabu hiyo kufichua vitendo vya rushwa vinavyofanyika chuoni kwao.

No comments:

Post a Comment