Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Tuesday, November 20, 2012

LIGI YA MWENYEKITI YAMALIZIKA


MICHUANO ya ligi ya Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya imemalizika kwa timu ya kata ya Halungu kunyakua ubingwa baada ya kuifunga timu ya kataa ya Ndalambo goli 2-1.

Halungu iliibuka bingwa wa mashindano hayo na kuzawadiwa kombe la fedha taslimu shilingi laki tatu katika mchezo huo uliopigwa kwenye uwanja wa Vwawa ambapo hadi dakika 90 za mwanzo zinamalizika timu hizo zilikuwa sare ya goli 1-1.

No comments:

Post a Comment