Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, November 21, 2012

JWTZ 10 MBARONI KWA MAUAJI


WATU 14 wakiwemo askari 10 wa jeshi la wananchi(JWTZ) wa kikosi cha 44KJ kambi yaa Mbalizi wilayani Mbeya wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani hapa kwa tuhuma za mauaji.


Kamanda wa polisi mkoani Mbeya Diwani Athuman amesema leo kuwa kushikiliwa kwa askari hao kunatokana na mauaji ya kijana  Petro Sanga(25)  yaliyotokea novemba 18 mwaka huu akiwa katika baa ya Power Pub ambapo askari hao wanatuhumiwa kuhusika

No comments:

Post a Comment