Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Saturday, November 17, 2012

WATOTO WATATU WAFUNIKWA NA KIFUSI IRINGA

Habari  zilizoifikia LYAMBA LYA MFIPA kutoka mkoani Iringa  zinadai  kuwa  watoto  watatu  wakazi  wa Tosamaganga wilaya ya Iringa vijijini mkoani Iringa  wamekufa papo hapo baada ya  kufunikwa na kifusi  wakati  wakichimba mchanga ,miili ya watoto hao imehifadhiwa kwa muda hospitali ya Ipanda kabla ya kupelekwa hospitali ya mkoa wa Iringa kwa uchunguzi zaidi.hizi ni tetesi kutoka Iringa

No comments:

Post a Comment