Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, November 28, 2012

OFISI ya Katibu Tawala mkoani Rukwa imefikishwa katika mahakama kuu ya kazi kanda ya nyanda za juu kusini iliyopo jijini Mbeya kwa kukiuka makubaliano ya kumlipa mtumishi madai ya malipo ya uhamisho yaliyowekwa chini ya Tume ya usuluhishi na maamuzi.

No comments:

Post a Comment