Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Saturday, November 24, 2012

VODACOM WAPATA AJALI MBEYA

Ajali hii imetokea usiku wa kuamkia leo maeneo ya barabara ya mbalizi kuelekea mabatini Gari hiyo mali ya kampuni ya simu vodacom iliporamia nguzo ya taa za barabarani  na dereva wake amejulikana kwa jina moja tu Karinga ambae ameumia kidogo chanzo cha ajali mpaka sasa hakijajulikana





Kwa hisani ya Blogu ya Mbeya Yetu

No comments:

Post a Comment