Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Tuesday, November 20, 2012

RUNGWE WAJIPANGA KWA USAFI WA MAZINGIRA


SERIKALI wilayani Rungwe mkoani Mbeya imesema imejipanga kuhakikisha hali ya usafi wa mazingira inazingatia katika maeneo yote wa wilaya hiyo kwa kuanza kuwawajibisha wasiofuata utaratibu uliopo.

Mkuu wa wilaya hiyo Chrispin Meela aliyasema hayo katika maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani yaliyofanyika kitaifa juzi katika mji mdogo wa Tukuyu wilayani hapa.

No comments:

Post a Comment