Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, December 30, 2015

KILIMO CHA KISASA KISICHOHITAJI ARDHI KUBWA



Mgomba una uwezo mkubwa wa kuhifadhi maji.Hii inaweza kuwa faida kubwa kwa wakulima wa mboga mboga.Toboa matundu katika shina la mgomba uliokatwa kama inavyoonekana katika picha hapo juu,weka udongo wenye mchanganyiko na mbolea kwenye matundu hayo na kasha na kisha pandikiza miche yako.

No comments:

Post a Comment