Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Sunday, December 6, 2015

ZIARA YA TAJATI KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA KITULO

 Mkuu wa hifadhi ya taifa Kitulo iliyopo wilayani Makete mkoani Njombe akiwa pamoja na wanahabari wa chama cha utalii na uwekezaji Tanzamia TAJATI kwenye ofisi za hifadhi ya kitulo 





 Wanatajati Ester Macha na Brandy Nelson wakiangalia moja ya picha walizopika kupitia simu ya mkononi wakiwa kwenye hifadhi ya Kitulo.
Picha kwa hisani ya Rashid Mkwinda

No comments:

Post a Comment