Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Tuesday, December 22, 2015

UZINDUZI WA AUTUMN HARVEST ULIVYONOGA JIJINI MBEYA



 Wadau mbalimbali wa Autumn Harvest wakiendelea kufurahia kinywaji hicho huku wakijiselfie kwenye uzinduzi uliofanyika katika Hoteli ya Paradise jijini Mbeya.Kinywaji hicho hivi sasa kitakuwa kinaingizwa nchini kwa njia halali na kampuni ya Tanzania Distillers Limited(TDL) kikitokea Afrika Kusini kinakotengenezwa.
 Wasanii wa Kundi la Makhirikhiri la Mbeya wakitumbuiza kwenye hafla hiyo fupi ya uzinduzi.
 Mmoja wa wadau hau Francis Mwasamwene akichangia mwazo wakati wa hafla.
 Wasanii moja wa kundi la Makhirikiri la Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja na Mhariri mkuu wa Lyamba Lya Mfipa Bw.Joachim Nyambo(wa pili kulia)

Meneja Autumn Harvest nchini Diana Balyagatiakizungumza jambo.

No comments:

Post a Comment