Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, December 7, 2015

MJUE COBRA



COBRA ni moja kati ya nyoka hatar zaid ulimwenguni mwenye kas, sum, na wepes katka mapambano na adui yake..
Hupatkana kwenye misitu,pembezon mwa kingo za mito, mapangon.
 
UZAZI:
Hutaga mayai 10 na huanguliw baad ya sku 90 huweza kukua na kufikia urefu had futi 10
 
HATARI:
Ana uwezo wa kung'ata mara 15 bila kuchoka, sumu yake ina kemikal aina ya NEUROTOXIC na CYTOTOXIC ambayo baad ya kung'atwa hu7bisha KUPALALAIZ MWILI, KUSHNDWA, KUPUMUA VZURI, KUPOTEZA MAWASILIANO KWENYE MFUMO WA NEVA ZA MWILI hadi KIFO..
pia ana vitundu kwnye meno ambavyo vinamsaidia kufany shambulio kwa kurusha mate had umbali wa mita 1.5 - 2. ambayo yakikufkia machon unaweza kupata UPOFU.
 
CHAKULA:
hula mijusi, vyura, panya wakubwa na wadogo
SIFA ZAKE TOFAUTI NA WENGNE:
hutunisha shngo kama unavomuona na husimama had nusu ya mwili wake...
 
KASI YAKE:
hutambaa kwa kas ya kilomita 15/saa
huyo ndo COBRA ahsanteni.

No comments:

Post a Comment