Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Tuesday, July 16, 2013

MBARONI KWA KUINGIA NCHINI BILAA KIBALI

MNAMO TAREHE 15/07/2013 MAJIRA YA SAA 09:0HRS HUKO UYOLE JIJINI MBEYA. ASKARI POLISI WAKIWA DORIA/MISAKO WALIWAKAMATA MALUKUSI S/O DEMSI, MIAKA 21, AKIWA NA WENZAKE SITA WOTE RAIA WA ETHIOPIA WAKIWA WAMEINGIA NCHINI BILA KIBALI [.] WATUHUMIWA WAPO MAHABUSU TARATIBU ZA KUWAKABIDHI IDARA HUSIKA ZINAENDELEA. KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI DIWANI ATHUMANI ANATOA WITO KWA JAMII KUENDELEA KUTOA TAARIFA KATIKA MAMLAKA HUSIKA JUU YA MTU/WATU WANAOWATILIA SHAKA ILI HATUA DHIDI YAO ZICHUKULIWE HARAKA IKIWA NI PAMOJA NA RAIA WA KIGENI.

No comments:

Post a Comment