Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Friday, July 5, 2013

WAJASIRIAMALI TISA KUWEZEZESHWA NA SAFARI LAGER LEO KWENYE UWANJA WA RUANDA NZOVWE JIJINI MBEYA

KUTAKUWA NA BURUDANI MBALIMBALI IKIWEMO MNOFU BAND YA JIJINI DAR ES SALAAM KAMA UNAVYOMUONA KIONGOZI WA BENDI HIYO WA KWANZA KUSHOTO KATIKA PICHA AKIWA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA KAMPUNI YA BIA YA TBL WAKATI WA MAHOJIANO NA VYOMBO VYA HABARI.FIKA UJIONEE BURUDANI UWANJANI HAPO KUANZIA MAJIRA YA SAA NNE ASUBUHI MPAKA JIONI

No comments:

Post a Comment