Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, December 30, 2013

Kwa niaba ya familia yangu na pia kikosi chote cha Blogu ya Lyamba Lya Mfipa inayopatikana kupitia anuani ya www.jodanyp.blogspot.com Nawatakia kila la kheri katika mwaka mpya wa 2014.Mwenyezi Mungu awabariki nyote.

No comments:

Post a Comment