Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, December 2, 2013

WAFANYAKAZI TBL WAPIMA VVU KUADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI

Wafanyakazi wa kiwanda cha bia cha kampuni ya TBL kilichopo jijini Mbeya wakiwa kwenye foleni tayari kwa kupima Virusi vya ukimwi(VVU)Zoezi la upimaji lilifanyika kwenye viwanja vya kiwanda hicho maeneo ya Iyunga

No comments:

Post a Comment