Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Thursday, January 2, 2014

HATARIIIIII...WAKAZI WAZOA TAKA DAMPO NA KUZIREJESHA MITAANI

Wakazi wa eneo la Uyole jijini Mbeya wakipita karibu na mabaki ya taka yaliyorundikwa katika moja ya mitaa ya eneo hilo.Mabaki haya ni yale yanayokwenda kuchambuliwa na watu waanaojiita wajasiriamali ambao huenda katika dambpo kuu la Uyole na kuchambua taka wanazoona zinawafaa na kuzirejesha tena kwenye makazi ya watu wakidai wataziuza jambo haijulikani zinahitajika kwa matumizi gani WAHUSIKA WA TAKA HIZO WAKIZIKUSANYA BAADA YA MAAFISA WA HALMASHAURI YA JIJI KUWAAMURU KUZIONDOA MAHALI HAPA KUFUATIA AGIZO LA MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO KUTOTAKA KUWAONA TENA KWANI WANALICHAFUA JIJI

No comments:

Post a Comment