Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Friday, January 10, 2014

NHIF,KFW WAKABIDHI VIFAA TIBA VYA MILIONI 989

Naibu waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid(Kulia) akikabidhi kitanda kwa kaimu mkuu wa mkoa wa Mbeya Dk.Norman Sigala.Dk.Sigala akimkabidhi mganga mkuu wa mkoa wa Mbeya dk.Seif Mhina kitanda kwaajili ya wajawazito

No comments:

Post a Comment