Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Saturday, January 25, 2014

MUZIKI NI KWA KILA MMOJA

Mkuu wa mkoa wa Mbeya,Abbas Kandoro akishiriki kucheza ngoma ya asili ijulikanano kama Ndili iliyopigwa na kikundi cha sanaa cha kijiji cha Ichesa alipokuwa katika ziara ya ufuatiliaji wa uboreshaji miundombinu kwaajili ya utekelezaji wa mpango wa kitaifa wa Matokeo makubwa sasa(BRN)

No comments:

Post a Comment