Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Friday, January 10, 2014

ILEMBO NA HATARI YA UFUGAJI HOLELA

Ukiwa katika kijiji cha Ilembo yalipo makao makuu ya kata ya Ilembo wilyani Mbeya ni jambo la kawaida kukutana na makundi ya mifuho hususani Mbuzi ikizurura hovyo katika mitaa mbalimbali ya kijiji hiki.Jambo la kushangaza ni kuwa hata waakati wa usiku mbuzi hawa hakuna anayewakumbuka kuwafungia katika mabanda

No comments:

Post a Comment