Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Friday, January 31, 2014

CBE WAELEZA MIKAKATI YAO BAADA YA KUFUNGUA TAWI MBEYA

Mkuu wa vyuo vya Elimu ya Biashara nchini(CBE) Profesa Emanuel Mjema akifafanua jambo katika kikao chake na waandishi wa habari juu ya ujio wa CBE mkoani hapa ambapo tayari wanapokea maombi ya wanaotaka kujiunga na chuo hicho mwaka huu wa masomo. Profesa Mjema anasema Tanzania ina uhaba mkubwa wa wataalamu wa elimu ya biashara hali inayopelekea hata masomo ya biashara mashuleni kukosa walimu napia watanzania kuendelea kufanya biashara zao bila elimu hiyo hali aliyosema inawaathiri kiutendaji CBE TAWI LA MBEYA WAKO KATIKA JENGO LA OPEN UNIVERCITY KARIBU NA MZUMBE

No comments:

Post a Comment