Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, January 13, 2014

ZIARA YA Lyamba Lya Mfipa KATIKA OFISI YA LUGHA YA KIMALILA ILIYOPO KATIKA KATA YA ILEMBO WILAYANI MBEYA

. Mhariri mkuu wa Lyamba Lya Mfipa Bw.Joachim Nyambo(Kulia) akiwa na Mratibu wa Kisomo na matumizi ya Biblia katika Ofisi ya Lugha ya Kimalila iliyopo katika kata ya Ilembo Bw.Heri Mwile Vitabu mbalimbali vilivyoandikwa kwa lugha ya Kimalila vinavyopatikana ndani ya ofisi hiyo.Chini ni Ilabu ambazo hutumika kusoma na kuandika lugha ya Kimalila

No comments:

Post a Comment