Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, January 29, 2014

OPARESHENI YA KUKAMATA NGUO ZA NDANI ZA MTUMBA JIJINI MBEYA

Afisa viwango na mkaguzi wa TBS Paul Manyirifa akizungumza na waandishi wa habari juu ya oparesheni hiyo iliyomalizika kwa kumkamata mtu mmoja pekee aliyekuwa akiuza soksi za mtumba katika soko la Mbalizi Kamanda wa polisi mkoani Mbeya Ahmed Msangi akielezea namna jeshi la polisi litakavyoendelea na oparesheni ya kukamata nguo za ndani za mtumba Oparesheni ilimalizika kwa kuteketeza bidhaa zilizokamatwa nje ya jengo la ofisi ya kamanda wa polisi mkoani Mbeya.

No comments:

Post a Comment