Lyamba Lya Mfipa
Na Joachim Nyambo
Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com
Tuesday, May 29, 2012
ADHA YA USAFIRI MBEYA-SUMBAWANGA RUKWA
ABIRIA WAKIENDELEA KUSOTA KATIKA KIJIJI CHA NDALAMBO WILAYANI MOMBA MKOANI MBEYA MARA BASI MALI YA KAMPUNI YA MBEYA EXPRESS ILIPOPATA PANCHA TAIRI MOJA NA KUKOSEKANA TAIRI LA ZIADA
WALIKAA HAPA KWA ZAIDI YA MASAA 12 WAKISUBIRI TAIRI LILILOPATA PACHA LIZIBWE TUNDUMA NA KUREJESHWA HAPA WALIKUWA WAKITOKEA SUMBAWANGA KWENDA MBEYA
HAWA NAO WALIKUTWA NA LYAMBA LYA MFIPA WAKISOTA JIRANI NA KIJIJI CHA KAENGESA WILAYANI SUMBAWANGA KUTOKANA NA BETRI YA GARI YAO KUISHIWA MOTO HIVYO IKABIDI WASUBIRI BASI JINGINE KUJA KUIONGEZEA BETRI YAO MOTO
HAPA YAKAMKUTA MWANDISHI MKUU WA LYAMBA LYAPA ALIPOJIKUTA AMEKATA TIKETI YA BASI KUTOKA SUMBAWANGA KWENDA MBEYA MATOKEO YAKE STENDI IKALETWA BASI DOGO AINA YA COASTA ILIYOKUWA IKIINGIZA VUM,BI JINGI NDANI
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment