Washindi
wa Shindano la Miss Intercollege Southern Highland zone waliopata fursa
ya kuiwakilisha Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Tanzania katika Shindano
la Miss Intercollege Tanzania. Mshindi namba moja aliyekaa kutoka Chuo
Kikuu cha Tumaini Iringa, Kushoto kwake ni Mshindi wa Pili kutocha Chuo
cha TIA na kulia ni Mshindi wa Tatu kutoka Chuo Kikuu cha TEKU. Shindano
lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na
kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni
ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort, Masasi Fassion, Cocacola, Man
Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo Mobile phone & Accessories
na Mfikemo Hotel.
Warembo
walioingia katika Tano bora katika Shindano la kumsaka Miss
Intercollege Southern Highland zone. Shindano lililoandaliwa na Lake
Victoria arts & Culture Promotion na kufanyika katika Ukumbi wa
Mkapa Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya Vinywaji Tanzania
(TBL), Beaco Resort,
Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo
Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.

Warembo 12 kutoka Vyuo vikuu kutoka Kanda ya Nyanda za Juu Kusini
wakiwa jukwaani katika Shindano la kumsaka Miss Intercollege Southern
Highland zone. Shindano lililoandaliwa na Lake Victoria arts &
Culture Promotion na kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya na
kudhaminiwa na Kampuni ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort,
Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo
Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo
Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
Burudani
ya Muziki kutoka kwa DJ Imma Boy wa Kituo cha kurushia Matangazo na
burudani cha Bomba FM Mbeya, ambao ni waandaji wa Shindano la Miss Mbeya
Mkoa litakalofanyika June 1, Mwaka huu.
Mbali
na Dj kutembeza burudani, lakini hapa nyonga zilizungushwa baada ya
Bendi ya Miondoko ya Taarabu nazungumzia T-Moto, kupanda jukwaani na
kuwapa mashabiki wa shindano hilo, zawadi yao ya muziki wa Mwambao a.k.a
Mambo ya pwani a.k.a mipasho na jipe raha mwenyewe a.k.a Lete kashida
zinaleta mambo shosti.
Bi
Joah Kassim kipenzi cha wazungusha nyonga kutoka Bendi ya Miondoko ya
Taarabu T-Moto akiwapa kashida mashabiki wake, na hapa baada ya kupanda
jukwaani na
kuwapa mashabiki hao zawadi yao ya muziki wa Mwambao a.k.a
Mambo ya pwani a.k.a mipasho na jipe raha mwenyewe a.k.a Lete kashida zinaleta mambo shosti.

Majaji wa Shindano la kumsaka Miss Intercollege Southern Highland zone, kutoka Dar es salaam na Mbeya. Shindano
lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na
kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni
ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort,
Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo
Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na
kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni
ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort,
Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo
Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
Jukwaa lilivyopendezeshwa na wadhamini wa Shindano la kumsaka Miss Intercollege Southern Highland zone. Shindano
lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na
kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya na kugusia Kampuni
ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort,
Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo
Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na
kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya na kugusia Kampuni
ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort,
Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo
Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
Wazee
wa TBL wapili kutoka kushoto Papaa Raymond, ambapo TBL ni moja ya
wadhamini wa shindano la Miss Intercollege Southern Highland zone.
Shindano
lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na
kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya na kugusia Kampuni
ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort,
Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo
Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na
kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya na kugusia Kampuni
ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort,
Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo
Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
Mashabiki walioonekana kupendeza na kufika mapema katika Miss Intercollege Southern Highland zone. Shindano
lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na
kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya na kugusia Kampuni
ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort,
Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo
Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na
kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya na kugusia Kampuni
ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort,
Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo
Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.
Mashabiki wakifuatilia shindano kwa umakini katika Shindano la kumsaka Miss Intercollege Southern Highland zone. Shindano

Picha zote kwa hisani ya Chimbuko letu Blog
No comments:
Post a Comment