Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Thursday, May 17, 2012

WAKUU WA WILAYA ZA MKOA WA MBEYA WALIPOAPISHWA

MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIAPA MBELE YA MKUU WA MKOA WA MBEYA ABASS HUSEIN KANDORO KATIKA HAFRA FUPI YA KUAPISHWA WAKUU WAPYA WA WILAYA ZILIZOPO MKOANI MBEYA.WANAHABARI MKOANI MBEYA WAKIFANYA MAHOJIANO NA MKUU HUYO WA WILAYA MARA BAADA YA KUAPISHWA

No comments:

Post a Comment