Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Saturday, September 27, 2014

KIKAO CHA KAMATI YA GBV NA VAC WILAYA YA MBEYA

Mwenyekiti wa kamati Bw.Geofray Anania akizungumza wakati wa kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Kihumbe.

 Wajumbe wa kamati wakihuzunika baada ya kusomewa taarifa za vitendo vya kikatili vinavyofanyika katika kata za Ilembo na Masoko wilayani Mbeya.



 Afisa mradi wa GBV na VAC katika kata za Ilembo na Masoko Patrick Kosima akiwasilisha taarifa ya vitendo vya ukatili katika kata hizo.







 Muelimishaji wa mradi wa GBV na VAC Jason Alam akitoa taarifa juu ya changamoto wanazokumbana nazo wakati wa kutekeleza majukumu yao.





No comments:

Post a Comment