Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Tuesday, September 23, 2014

NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA RUAHA NCHINI TANZANIA

Kuwa mzalendo kwa kujua vivutio vya utalii vilivyopo katika nchi yako.Asasi ya kiraia ya Maendeleo Plus Foundation inakualika kushiriki katika kuhamasisha utalii wa ndani.Asasi hii itaanza kukuletea mambo mengi na mazuri hivi punde.Kwa taarifa zaidi endelea kutembelea Lyamba Lya Mfipa au tembele tovuti yetu ya www.maendeleoplus.co.tz

No comments:

Post a Comment