Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Thursday, September 4, 2014

OFISI ZA WATU


Hapa ni eneo la Isunta katika mji wa Namanyere wilayani Nkasi mkoani Rukwa.Hii ni ofisi ya mtaalamu wa kuchonga misalaba na kutengeneza majeneza.Jamaa anaitwa Gilbert Paul anaijua tarehe yake ya kuzaliwa lakini kifo kaweka kiulizo kwakuwa hajui kitamkuta lini.Maandiko matakatifu yanasema kila nafsi itaonja mauti!

No comments:

Post a Comment