Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, September 17, 2014

SISI TUNAWAPENDA WATOTO WEWE JE?

 Mhariri mkuu wa Blogu ya Lyamba Lya Mfipa Joachim Nyambo akiangalia namna watoto wa kijiji cha Masoko kata ya Masoko wilayani Mbeya wanavyoweza kusakata Rhumba.
 Watoto wakiendelea kushindana kucheza muziki wakisaidiwa na MC Ben Benjamin a.k.a Dable B
 Afisa mradi wa kupinga ukatili wa kijinsia(GBV) na ukatili dhidi ya watoto(VAC) Patrick Kosima akicheza muziki na mshindi wa shindano la kucheza muziki wakati wa kampeni ya kutoa elimu ya kupinga ukatili katika kata ya masoko



 Mhariri mkuu wa Lyamba Lya Mfipa Joachim Nyambo akiwa na watoto wa Masoko wilayani Mbeya

 Hapa afisa mradi wa GBV na VAC Patrick Kosima akicheza muziki na watoto waliokutwa jirani na mto

No comments:

Post a Comment