Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Tuesday, July 3, 2012

SIASA HAZIWAHUSU WATUMISHI HALMASHAURI


WATUMISHI wa halmashauri ya jiji la Mbeya wametakiwa kutofautisha misingi ya utendajikazi wa shughuli zao na hisia za kisiasa.

Mkuu wa wilaya ya Mbeya Norman Sigalla ametoa onyo hilo leo(Julai 3) alipokuwa akizungumza na watumishi wa idara mbalimbali za halimashauri hiyo ikiwa ni mkutano wake wa kwanza tangu ahamie wilayani hapa.

Sigalla amesema watumishi hao wanapaswa kutambua kuwa hisia za kisiasa haziwahusu na kuziendekeza kunaweza kuzoroptesha utendaji kaazi wao na kuwafanya wavurunde.

No comments:

Post a Comment