Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Saturday, July 21, 2012

ZIARA YA JK MBEYA YASOGEZWA MBELE

HABARI ZILIZOTUFIKIA NI KWAMBA ZIARA YA RAIS WA JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA DK.JAKAYA MRISHO KIKWETE IMEAHIRISHWA.BADALA YA KUTUA LEO JIJINI MBEYA NA KUONDOKA JUMAPILI BAADA YA SHUGHULI ALIYOJIA SASA ATATUA JIJINI HAPO JUMAPILI ASUBUHI NA KUONDOKA SIKU YA JUMATATU

No comments:

Post a Comment