Lyamba Lya Mfipa
Na Joachim Nyambo
Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com
Saturday, April 21, 2012
WASHINDI WA BDG WAKABIDHIWA MAMILIONI YAO
Mkuu wa wilaya ya Mbeya Evance Balama (Katikati) akipata maelezo ya bidhaa za wajasiriamali walioshinda shindano la BDG
DC Balama akimwakilisha mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Husein Kandoro kutoa nasaha zake kwa wajasiriamali
Baadhi ya wajasiriamali wakifuatilia kwa makini nasaha za mgeni rasmi
Mmoja wa maofisa wa BDG akizungumza jambo
Wajasiriamali wakikabidhiwa mfano wa hundi ya mamilioni yao
Baadhi ya bidhaa za wajasiriamali zilizoletwa nje ya ukumbi wa Mkapa kwaajili ya maonesho
Wajasiriamali wakifurahia mfano wa hundi ya malipo ya fedha zao katika picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment