Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, April 23, 2012

WATOTO WAOKOTA BEGI LENYE MAITI

WATOTO watano waliokuwa wakioga katika mfereji wa Mwanjejele, uliopo Igurusi Wilaya ya Mbarali, Aprili 22 mwaka huu majira ya saa tisa alasiriwaliokota begi lililokuwa linaelea katika maji ya mfereji huo na kukuta maiti ya mtoto mchanga.

Maiti hiyo ikiwa imeharibika vibaya kutokana na kuoza ndipo walipolichukua begi hilo na kulipeleka katika Kituo cha Polisi cha Igurusi.

No comments:

Post a Comment