Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, April 2, 2012

MADIWANI MBEYA WAPANIA MBEYA CITY KUTINGA LIGI KUU

Zaidi ya Madiwani 20 wa halimashauri ya jiji la Mbeya  wameweka kambi mjini morogoro kwa ajili ya kuipa n nguvu Timu  yao ya Mbeya jiji ambaye ainashiriki michuano hiyo ya Tisa bora.

Uamuzi huo unakuja mara baada ya ushindi wa timu hiyo ambapo katika mchazo wa kwanza timu hiyo ya jiji iliibuka na ushindi wa gori Mbili bila.

Akizungumza mara baada ya madiwani hao kukajadili hali halisi ya mashindano hayo Meya wa jiji hilo ambaye ndio kiongozi wa msafara wa madiwani hao Ndugu Atanas Kapunga maesema uamuzi uliofanywa na madiwani hao ni kitendo cha uzelendo.

Amesema mara baada ya wao kufika mjini hap;o kwa ajili ya mechi za ufunguzi kati ya Mbeya Citya na Transiti ya Dar wamebainikuwa wachezaji wao walipata nguvu ambapo ndioi iliyosababisha timu hiyo kuibuka na ushindi.

Amesema kuwa wao wataweka kambi  hapo kwa kupeana na nafasi na madiwani waliobaki jijini mbeya kuja kushudia mashindano hayo mpka pale timu yao itakamaliza michezo yake yote ambapo pia amewataka wananchi wa mkoa wa mbeya kuendelea kuiombea timu hiyo kwani timu nhiyo ndio timu pekee inayoshiriki michuano hiyo ikiwa si timu ya jeshi.

Timu hiyo inataliwa kupanda kizimbani  Apri 03 mwaka huu ikichuana na na timu ya Timu ya maafande toka mbeya ,
Katika mechi za leo Timu ya Tanzania  prisons  na polisi morogoro  ambapo mechi ya pli ni Mgambo shooting na Mlale Jkt.

No comments:

Post a Comment